Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha mgombea udiwani kata ya Themi mkoani Arusha, Lobora Petro Ndarpoi katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya relini kata ya Themi. Uchaguzi huo katika kata 4 za Arusha unatarajiwa kufanyika tarehe 16/06/2013.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha karatasi ya mfano ya kura ya udiwani katika  kata ya Themi mkoani Arusha.
Baadhi ya wananchi wa kata ya Themi mkoani Arusha, wakimsikiliza Maalim Seif wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani katika kata hiyo. (Picha na Salmin Said, OMKR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...