Tofauti na tamaduni za mikoa mingine, huku Mkoani Kilimanjaro wakinamama ndio wafanyabiashara wakubwa wa biashara za mtaani a.k.a Machinga. Kamera Yetu leo hii ilikuwa ikivinjari katika kona mbali mbali za Mji wa Moshi mjini na kushuhudia harakani mbali mbali za wakinamama hao wa mkoa huu wakiwajibika katika biashara hizo. 
 Mwanamama akipanga Biashara yake ya Mabegi.
 Hapa napo ni Biashara ya Soksi za kina Baba.
 Kina Mama hao pia wanauza Viatu vya Kinadada pia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2013

    jamani Moshi kusafi sana,

    cpati picha haya yangekua maendeo ya mchikichini, cjui hali ipoje ombama alivyoondoka

    hongereni sana wakazi wa Moshi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2013

    Hongereni sana kinamama kwa juhudi zenu kwani nyie ndio wakombozi wa taifa letu.
    Japo zipo chini,bidhaa zimepangwa kwa usafi. Moshi kwa usafi ni ya kuigwa!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2013

    Wachaga achana nao bwana!, wako very organized na very determined. huu ni uthibitisho tosha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2013

    sawa lakini hii pangapanga chini nayo vip?


    sesophy

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2013

    Absolutely fantastic! Mungu awabariki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...