Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Jumuiya ya (ZAJOA) Zanzibar Jaji Abraham Mwampashi,akitoa hutuba wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) unaoendelea kwa siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya
ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akiufungua Mkutano huo wa siku tanu
leo katika Ukumbi wa Hoteliya Zanzibar Beach Resort iliyopo nje ya Mji
wa Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Majaji wa Nchi za Afrika
Mshariki, wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua
siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya
Mji wa Unguja.
Majiji au majaji?
ReplyDelete