Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe Zitto Kabwe akito taarifa ya mahesabu ya serikali a huu Bungeni Dodoma leo Novemba 7, 2013

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani Watanzania tuwe wazalendo. hasa viongozi mliopewa mamlaka mbalimbali ili kuleta maendeleo ya nchi yetu. Tutumie vizuri mali za umma. Pesa za walipa kodi tuzitumie vizuri kwa maendeleo ya Taifa. Siku hizi utakuta kijana anasema Aaa nimepata kazi kitengo fulani kina michongo kibao ndani ya miezi miwili nataka niwe na Gari la kutembelea. Wengine utawasikia aaah mimi siwezi kusomea ualimu kwakua hakuna madili. Maana ya madili hapo Ni wizi wa mali ya umma na sio kingine. Yani mtu anafurahia kupata kazi ili aibe na sio kutumikia jamii. Mbaya sana hii. Tuige wazee wetu wazalendo waliojitoa enzi hizo kutujengea Tanzania tunayoiona leo

    ReplyDelete
  2. Rafiki yangu hapo juu nafikiri unawajua watanzania sawasawa. Kujipatia mafanikio kiujanjaujanja ndio imeshakuwa utamaduni wetu. Tunataka tufanye kazi kidogo tupate pesa nyingi. Lakini mabadiliko yanawezekana na yanaweza kuanzia kwako. Asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...