Mwili unatarajiwa kuwasili nchini kutokea India jumapili mchana tarehe 29 Desemba 2013 na Qatar Airways.

Jumatatu tarehe 30 Desemba 2013 saa 3 asubuhi kutakuwa na Ibada Maalum na ratiba ya kutoa heshima za mwisho katika Kanisa la Anglican la Mtakatifu Albano jijini Dar es Salaam.

Jumanne tarehe 31 Desemba 2013 Mwili wa Marehemu utasafirishwa kuelekea Ngara kwa ajili ya mazishi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. RIP the soul of our beloved Mama. We always thank God for everything. Amen.

    ReplyDelete
  2. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani kama kumpoteza mama, ila hii yote ni mipango ya Mungu na wote tuko safari moja... Mungu awape nguvu na amani familia ya Mzee Rugumyamheto katika kipindi hiki kigumu na amlaze mama pema peponi, amen.

    Mdau Ngara..

    ReplyDelete
  3. kweli umesema ukweli kumpoteza mama sijui niseme nini, kwani mimi ni mwaka na miezi toka mama yetu atutoke lkn naona ni kama jana ila kikubwa nikumshukuru Mungu kwani yeye niwakushukuliwa kwa kila jambo.Poleni sana sana na tukubali ni njia yetu sote wametangulia ila na sisi tuliobaki nikujiweka tuwe wasafi itakapofika wakati wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...