Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM),Bw. Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakaribia kuanza kujengwa katika eneo la Msata wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani,Chuo hicho kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini.kulia kwa makamu wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo.
uongozi wa chuo cha ifm kilipo tembelea eneo kitakapo jengwa chuo hicho msata wilaya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.Picha na Chris Mfinanga
Hii ndio dawa ya Wanafunzi Masharo Baro na Mashostisho!
ReplyDeleteHapo hakuna mambo ya Klub usiku, hakuna mambo ya Steers, hakuna mambo ya Bilicannas, ukitoroka Bwenini unakumbana na Tumbiri na Kima usiku, msitu mneneee ukikurupushwa unapanda juu ya mti wa Mfenesi unalala juu hadi asubuhi!!!
Si mchezo ndani ya Msata-Bagamoyo hawa vijana wa IFM sasa watatulia na Kusoma kikweli kweli!
ReplyDeletewatanzania tuwe positive badala ya kupongeza hatua ya upanuzi wa chuo ambayo itapelekea idadi ya wanafunzi watakaofaidika na elimu hiyo kuongezeka. Tuache kuwashambulia na kuwakejeli.
Delete