Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wanaweza kuinunua ''360 EP Album'' yangu katika vituo vifuatavyo jijini Dar es Salaam na kwa kiasi cha T.SH 5,000 tuu. SamakiSamaki Mlimani city & Posta, Century Cinemax (Movie theater)-Mlimani City, Aziz Barber Shop zamani Prof Jizzle barbershop-Msasani mwisho, Shebby barber shop-Lufungira Sinza, Billionnaires barber shop-Mikocheni kwa Nyerere, Lily's boutique-Mwenge, Ofisi za Bongo5-Msasani, Pia wanaweza kunicheki kwa namba yangu 0756169978 kuinunua kutoka kwangu.
Asanteni sana kwa sapoti-JANB
Album: 360 EP ALBUM
Artist: JanB
Genre: Swahili Pop & House
Contacts: 0756169978, Instagram@janbizo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...