Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mhe. Kinana, HONGERA. Short, and very clear. Ndiyo maana Rais aliamua kukutana na BARAZA LA VYAMA VYA SIASA.
    Sasa sijui Mhe. Dr. Slaa alikuwa anatarajia Rais aseme nini katika Baraza hilo? NI wabishi kama Dr. Slaa, na wenzake, ndiyo hawatatumia hoja, bali nguvu. Inaonekana hawana hizo Hoja. Ndiyo, nchi ni yetu sote, lakini pia vyama navyo ni vingi. Kizuri zaidi, wapo wananchi watakaosikiliza kila hoja, na watapima, na kuamua. Uamuzi huo tutauheshimu wote. Ikitokea imeamuliwa 3,sote tukubali, na ikiamuliwa 2, sote pia tukubali, kama pia ikiamuliwa 1.
    Masuala ya qualifications kwa wanaowania vyeo vya kisiasa, ni ya wana siasa. Wananchi tunataka wawe ni wenye sifa na weledi ya kileo, kisasa, wachapa kazi na wanaotujali wananchi na vizazi vyetu. LAZIMA VIWANGO VYA ELIMU KWA NAFASI ZOTE VITAMKWE. Imetosha kuwa na vihiyo wanaotuweka roho juu juu. Watu wana fake vyeti, Rais anakuwa hana pa kuchagua zaidi ya wajanja hao - afanyeje basi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...