OMWANA THERESIA NYAMICHWO RUTAGERUKA

TAREHE 6 – FEBRUARI 2014, UMETIMIZA MIAKA 20 TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI. PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.

TUNAADHIMISHA KUMBUKUMBU HII TUKIENDELEA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU AWAKUTANISHE KWENYE RAHA YA MILELE NA MUME WAKO MPENDWA MWALIMU NOVATI RUTAGERUKA AMBAYE SIKU ZOTE ALIKUKUMBUKA KATIKA SALA ZAKE KABLA NAYE HAJATWALIWA NA BWANA TAREHE 5 MEI 2010.

MNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WENU FROLIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOTE.

IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU ITAADHIMISHWA ALHAMISI TAREHE 6 - FEBRUARI - 2014 KATIKA KANISA LA BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA, MBEZI BEACH, TANKI BOVU, DAR-ES-SALAAM SAA 12.30 ASUBUHI.

BWANA ALITOA, BWANA ALITWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tuzidi kumwombea mama yetu Mungu
    mary kahabuka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...