Makamu wa ccm bara MH.Philip Mangula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika kujadili mstakabali wa wasomi katika ujenzi wa taifa lao.Hii ilifanyika baada ya ziara fupi nchini aliyofanya MH,Mangula mwanzoni wa wiki hii.

Baadhi ya watanzania waishio nchini wakiwa katika picha ya pamoja na makamu wa ccm, bara MH.Philip Mangula
baada ya kikao cha kujadili mambo kadhaa ya mstakabali wa nchi yao katika ziara fupi aliyofanya mwanzoni wa wiki hii. 


MH.Mangula akibadilishana mawazo wadau Joel Kayombo na Shauku Kihombo ambao wapo nchini humo kwa masomo  katika moja ya vyuo vinavyopatikana mjini Beijing China.
                     PICHA  NA MDAU SHAUKU KIHOMBO 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...