Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania, Dk. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Naibu Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Edward Haule. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Kupata matokeo ingia kwenye tovuti ya NECTA ya:
Kisha bofya sehemu ilioandikwa MATOKEO YA CSEE 2013 & MATOKEO YA QT 2013 Upande wa juu kulia pembeni mwa tovuti
Kazi ya kuimarisha elimu katika ngazi ya shule wilaya mikoa na sera na miongozo ya wizara iendelee. Hata mikoani tunasikia wamekuwa wakali huendi la saba kama hujashinda mitihani ya majaribio, tuendelee hivyo hivyo kuimarisha elimu inayokidhi haja katika ngazi zote.
ReplyDeleteCongratulations Eagles boys iliyoko Bagamoyo. No division 0 wala 4! Only 2division 3 wengine wrote ni division 1 and 2 out of 55 candidates! Pongezi kwa waalimu na entire staffs! God bless you
ReplyDelete