Bondia Mbaruku Heri (kushoto) akimkabidhi barua ya maombi ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi katika Wilaya ya Kisarawe Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba (kulia) ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo. wengine wa pili kushoto ni Masudi Bakari na Saidi Chaku. | |
Mwenyekiti wa halimashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng'imba (kushoto) akitaniana na Masudi Bakari mara baada ya kuletewa barua kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa ngumi Wilayani humo,ambapo imepagwa April 26 kutakuwa na ngumi za wazi kwa ajili ya kuhamasisha mchezo huo uliopotea wilayani humo. picha na www.superdboxingcoach. |
Home
Unlabelled
MCHEZO WA NGUMI KUHAMIA WILAYANI KISARAWE APRIL 26
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...