Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiongea baada ya kusajiliwa kama mjumbe wa kamati ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma Februari 16, 2014

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. That's a lot of money, can Bongo really afford that? Iam not sure of our priorities, kids have no desks and our hospitals have no medicines, mungu Bairiki Bongo

    ReplyDelete
  2. Ndio tanzania yetu hii aisee

    ReplyDelete
  3. Laki tatu sio saba

    ReplyDelete
  4. Kama ni laki 3 hakuna tatizo...si nyingi sana na wala si kidogo...kama ni saba basi Tz tuna safari...kwa ufupi itakuwa ni ubinafsi wa hali ya juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...