Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Mbweni.
  Muakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe.Mahmoud Thabit Kombo (alievaa koja) akiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe Baraza la wawakilishi katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa 
Mhe.Mahmoud Thabit Komboa akitoka nje ya Baraza la Wawakilishi  kuwashukuru wapenzi na wanachama wa (CCM) waliofika katika sherehe za kuapishwa kwake ziliofanyika ukumbi baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...