Mshauri
wa Ulaya wa taasisi ya kudhibiti magonjwa ya mifugo (GALVmed) Dr.
Joris Vandeputte akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania
BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika,
Karibiani na Pacific (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala ofisini kwake. Dr
Joris amemtembelea Balozi Kamala kumweleza mipango ya taasisi ya
GALVmend ya kusaidia Tanzania na nchi za ACP kupambana na magonjwa ya
mifugo.
Home
Unlabelled
MSHAURI WA ULAYA WA TAASISI YAKUDHIBITI MAGONJWA YA MIFUGO AKUTANA NA BALOZI KAMALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...