Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba na akishiriki mazishi ya wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo yamefanyika jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani humo.
Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa akishiriki mazishi ya wananchi watatu waliofarika kwa ajali ya gari,mazishi hayo yamefanyika jioni ya leo katika kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi mkoani humo.
Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha Kidamali wakishiriki kwenye mazishi ya wananchi watatu waliofariki kwa ajali ya gari,iliotokea jana,mazishi hayo yamefanyika jioni ya leo ambapo.Katika mazishi hayo wanachama wa Chama cha CHADEMA na CCM walishiriki na kutoa ubani wao kwa wafiwa,ambapo CCM walitoa kiasi cha shilingi Miloni moja na CHADEMA shilingi Elfu Hamsini.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba na Mgombea Ubunge jimbo la
Kalenga,mkoani Iringa,Ndugu Godfrey Mgimwa wakiteta jambo kabla ya
kwenda kutoa pole na kushiriki mazishi ya Wananchi watatu wa kijiji cha
Kidamali,waliofariki kwa ajali ya gari hapo jana mkoani humo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...