KUTOKANA NA MGONGANO WA RATIBA TUNGEPENDA KUWAARIFU KUWA ILE SHOW YA OMMY DIMPOZ ILIYOKUWA IFANYIKE WASHINGTON DC TAREHE 22 MWEZI WA PILI IMEHAIRISHWA HADI SPRING/SUMMER ILI KUZIPISHA SHEREHE ZA KUHADHIMISHA MIAKA 37 TANGU KUZALIWA KWA CHAMA TAWALA CHA CCM ZIFANYIKE BILA KIKWAZO TAREHE HIYO HIYO YA 22 MWEZI WA PILI.

TUNAOMBA SAMAHANI KWA USUMBUFU UTAKAOTOKEA KWANI KWA HESHIMA ZOTE TUMEKIPA CHAMA TAWALA NAFASI YAKE !
SWALI AU MAELEZO ZAIDI TUPIGIE 3016616207

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. imeahirishwa au imehairishwa?

    ReplyDelete
  2. Kwa wenyewe khasa wataalam wa lugha huko visiwani hilo neno ingefaa lisomeke... IMEAKHIRISHWA. Sio imeHAirishwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...