BABA PAROKO CHRISTIAN LIKOKO AKITOA MAWAIDHA WAKATI WA MAZISHI YA MWALIMU FELIX SHAABAN HONERO KATIKA KIJIJI CHA MBOGA, CHALINZE, MKOA WA PWANI JANUARI 30, 2014
Home
Unlabelled
SIKILIZA MAWAIDHA YA BABA PAROKO CHRISTIAN LIKOKO MAZIKONI KIJIJINI MBOGA, CHALINZE, MKOA WA PWANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Baba Paroko unatisha! Hongera sana. Nilishasikiaga kuwa viongozi wa dini husoma mafundisho ya dini zote, nikawa sielewi. Sasa nshakufahamu Baba Paroko. Niko hapa Kikwajuni Unguja nimeilimika na kukubali sana baba Paroko....
ReplyDeleteRev Fr Likoko, nimekukubali unatisha kaka. Nakumbuka nilicheza naye UMISETA enzi za ujana wetu, hongera sana Kaka.
ReplyDeleteNi kwelii mapadre wote wa kikatoliki wana somo la dini zingine ila kuepusha malumbano, wengi wao hawatilii mkazo kisomo hicho.
ReplyDeleteBaba Paroko kwa kuangalia clip hii kidogo nimegundua kuwa umesoma kiasi fulani uhusu Uislam. Na kama unaelewa maana ya aya za kuraan basi nilikuwa naomba pia upitie Sura Al-maeda (sura 5) Aya number 72-79 tafadhali ili uwaelezee waumini wako pia.
ReplyDeleteHii ndiyo raha ya kuwa na ilimu. Unawaelewa watu wa dini isiyokuwa yako vizuri na unawahudumia kwa upendo na heshima kubwa kulingana na imani yao. Mapadri wakatoliki wanafundishwa hilo.
ReplyDeleteMimi mwenye hadi nimeshaangaa, anasema ana masters ya arabic n islamic religion kama cjakosea, yuko vizuri, ndugu zetu pia wa imani ya kiislam pia wanapaswa wajifunze pia imani za wengine zikoje japo wapate uelewa tu.
ReplyDelete