NOTICE IS HEREBY Given that a General Meeting of the foundation will be held at Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam on Saturday, 8th February, 2014 at 10.00hrs.
Mkutano wa Weruweru Alumnae Foundation utafanyika Jumamosi tarehe 8 Februari 2014, Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam kuanzia saa Nne (4) asubuhi
Tafadhali mtaarifu Golden Girl mwingine
Hilo dume hapo pichani nae lilikuwepo enzi hizo?
ReplyDeleteHuyo dume naye ni mwana weruweru, au ndo wale wa vichakani kazi yao kuharibu
ReplyDeleteMwanamme hawezi kuwa katika group ya 'Alumnae '. Alumna (Singular), Alumnae (Plural) hutumika kwa wanawake waliomaliza shule/chuo previously . Kwa Mwanamme ingetumika 'Alumni'. Siku njema
ReplyDelete
ReplyDeleteThat is so nice for you ALL to meet together and help other people, I wish that all of the girls we graduated AT KIBOSHO GIRLS Moshi IN 1978 WE CAN DO THE SAME THING.