Watanzania tujumuike na dada yetu Loveness
Mamuya, na kuhudhuria msiba wa kifo
cha dada yake mpendwa MERCY MAMUYA MTUI
kilichotokea leo alfajiri Tanzania.
Kwa wakazi wa DMV na vitongoji vyake msiba upo
nyumbani kwa Bi Loveness Mamuya.
kama ilivyo
mila na desturi yetu tunaomba tumfariji katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
ADDRESS: 1005
Meandaring way Odeton MD 21113
NAMBA YA SIMU: LOVENESS MAMUYA:240-4230437
AZIZI:
301-768-9195
Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema peponi,
Amina.
RIP!!!
ReplyDeleteRest in Eternal Peace Mercy !
ReplyDelete