Home
Unlabelled
TANGAZO LA BWANA DALALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Multipurpose, I like it.
ReplyDeleteHiyo bila shaka itakuwa ni kampuni kumbwa sana na imesheheni wataalamu wengi. Kwa vile mshenga hawezi kupiga tofali wala kuponda kokoto.
ReplyDeleteHajaacha contacts tutampataje?nadhani hata TRA wamemsamehe kodi.mjini kweli shule
ReplyDeleteAnko umeharibu, kwanini umeziba namba ya simu wakati wadau tunahitajimambo hayo,hususan hiyo kitu ya kuoa na kuolewa. Tupia namba hizo tumuibukie dalali wa kimataifa huyo
ReplyDeleteUdalali mpaka kuoa na kuolewa ! Kweli kila kitu biashara. Tabu kubwa kangu mimi ni lugha iliyotumika. Jamii yetu ina watu wengi wazima na ndevu zao kabisa lakini wanajieleza kwa kuongea na kuandika kama watoto wadogo ! Wengine wameajiriwa mpaka kwenye vyombo vya habari lugha wanayoitumia ya hovyo. Unaweza kukuta mtu anaandika sentensi isiyo na kichwa wala mguu na inakubalika na waharir! utakuta mtu anaandika kwa mfano " wazazi wake walimwadithia ". Mimi nakereak sana na sentensi za kitoto aina hii.
ReplyDeletesesophy
Udalali wa nchi hii kwa bahati mbaya unafanywa na matapeli. Wajanja janja wengi wa mjini ambao shughuli yao haijulikani wanafanya udalali. Tangazo hili ni mfano mzuri ambapo jamaa anafanya kila aina ya shughuli!
ReplyDeleteNaona udalali siku hizi nao ume advance, mpaka wa ushenga n.k. Hata hivyo tangazo limeeleweka na ujumbe umefahamika.
ReplyDelete