eneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dar es Salaam, Calvin Nkya akieezea jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta, wakati ujumbe wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), ulipotembelea kiwanda hicho. Viongozi hao wa TPSF kutoka kushoto ni, aliyekaa ni Ofisa Mawasiliano, Rehema Mtingwa, Mkurugenzi Mtendaji Godfrey Simbeye, Mkurugenzi wa Huduma za Wanachama, Louis Accaro na Mkurugenzi wa Sera, Edward Furaha.
Nkya akiwaonesha viongozi hao wa TPSF, mtambo wa kutengenezea maji yaliyotumika kuwa safi kwa ajili ya matumizi mengine.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...