Kamera ya Globu ya Jamii mchana wa leo imeinasa taswira hii ya Wanafunzi wa Shule ya msingi Kumbukumbu,Kinondoni jijini Dar es Salaam wakiwa wamemzungumza kijana anaefanya biashara ya bidhaa za urembo (Mmachinga),walipokuwa wakiangalia vitu vilivyokuwa vikiwavutia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...