Tarehe 28 mwezi wa huu wa pili, supasta JB jacob Steven, Majuto, Irene Uwoya, Mboto, Beka na Irene Paul watakuwepo Arusha kutafuta wasanii chipukizi ambao wataigiza nao kwenye movie mpya...hii ni nafasi yako wewe kijana wa Arusha kuchukua fomu ya kujiunga, fomu zinapatikana Radio 5, Triple A na maduka ya Arusha Bongo shop yaliyopo stendi ndogo ya mabasi au piga namba 0784 959 509 na endelea kuangalia kipindi cha ulimwengu wa filamu kinachoruka kila jumamosi saa 4 asubuhi na marudio saa 5 usiku jumapili TBC1.
Home
Unlabelled
Wasanii wa Filamu nchini kufanya ziara jijini Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...