Mkuu wa wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiwa amebeba kichwani zawadi ya kibuyu chenye chakula cha asili ya wanyaturu, Mkuu huyo wa Mkoa alikabidhiwa zawadi hiyo na umoja wa Wanyaturu waishio mkoani Dodoma wakati wa sherehe yao ya kuukaribbisha mwaka 2014. Wengine wanaoshuhudia ni wanachama wa umoja huo wa Wanyaturu waishio mkoani dodoma.
Home
Unlabelled
ZAWADI YA ASILI YA WANYATURU KWA MKUU WA MKOA DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...