JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA- TAMISEMI

A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI INATANGAZA ORODHA YA
WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-
i. Walimuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928
ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416
iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677
Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vya ualimu Tanzania Bara.
B: Kila Mwalimu (ajira mpya) atatakiwa kuzingatia yafuatayo:-
- Kuripoti tarehe 01/04/2014 kwenye ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi
- Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuona Sekondari
- Walimu ambao ni waajiriwa wa Serikali waliokuwa wanajiendeleza kielimu wanatakiwa kurudi kwa waajiri wao ili kuendelea na kazi
- Fedha za kujikimu za siku saba (7) na nauli kwa walimu wapya zimetumw akatika Halmashauri walikopangwa walimu. Hivyo, kila mmoja aripoti katika Halmashauri aliyopangwa
- Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 10/04/2014 hatapokelewa tena na atakuwa amepoteza ajira yake.
- AJIRA MPYA YA WALIMU WAPYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14
- AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHAHADA WALIOPANGWA VYUONI MWAKA 2013/14
Bofya hapa kupakua faili lenye majina ya Wallimu wa Shahada waliopangwa Vyuoni
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...