Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Bi Mzinga Melu (kushoto) akikabidhi zawadi ya gari jipya aina ya Suzuki Swift kwa Bi. Mary Malifedha Popote mkazi wa Kigoma, aliyeibuka mshindi wa zawadi kubwa ya promosheni ya Weka Upewe iliyokuwa ikiendeshwa na NBC. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow, Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Bi. Mwinda Kiula Mfugale. Gari hilo lina thamani ya dola za kimarekani 17,000.   
 Mshindi wa gari wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Mary Malifedha Popote akifungua mlango wa gari lake baada ya kukabidhiwa. Nyuma yake ni    Mkuu wa Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bi. Mzinga Melu.
Mshindi wa gari wa promosheni ya Weka Upewe ya NBC, Mary Malifedha Popote akiwasha gari lake jipya aina ya Suzuki Swift tayari kwa safari ya kwenda Kigoma. 
=======  =====  ======
NBC HANDS OVER THE WEKA UPEWE GRAND PRIZE
MD’s Talking Points.
  
We are handing over the WEKA UPEWE Grand prize to our winner.
The draw was done in February and Ms Mary Malifedha Popote from Kigoma emerged the grand winner.

It took more than 3 weeks to hand over the prize as we have to make sure that we have all the ownership documents done and arrange bringing the winner to Dar es Salaam to receive her prize.

Ms. Mary Malifedha Popote closed the number of winners to 13 making us feel excited being able to change 13 Tanzanians’ lives. All the other prizes have been handed over to the winners and today we are handing over the car to the owner. We believeit will change her life through solving her transport issues or even uses the car as a means of extra income to support her families.

The NBC Weka Upewe campaign was intended to benefit all customers who have Malengo savings accounts and for any customer who will open a new fixed deposit.  Any NBC customer who deposited any amount starting from TZS 50,000 into his/her NBC Malengo account, or anyone who opens a Malengo account and or Fixed Deposit account with NBC and deposit TZS 50,000 or TZS 1,000,000 or more respectively got an opportunity of winning a generator, a motorbike or  a brand new car won today.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Bi Mary Malifedha, fedha imezaa fedha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...