Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Saleni,Kata ya Lugoba ndani ya Jimbo hilo wakati akiendelea na Kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze leo Machi 26,2014.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa muendelezo wa Mikutano ya Kampeni za CCM kwenye Kata ya Msata.

Diwani wa Kata ya Msoga,Mohamed Mzimba akitoa taarifa ya Kata yake mbele ya Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Kikwete (hayupo pichani) wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM katika Kata hiyo ya Msoga.

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye (kulia) akishiriki kucheza Ngoma na wazee wa Kabila la Wakwere wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi chadema hawajaanza kampeni?
    Warusheni wasije kukata rufaa ya matokeo kisa michuzi hajawarusha hewani.
    Eti Wanachua nchi! watabaki na mijazba yao na misauti ya dharau lakini watuwapi kura ng'o.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...