BY MOHAMED MATOPE             
As I closely follow the debate over the constitution amendment in Dodoma, I find myself more prideful of my politicians than ever before. Though prideful, the question still remains: Why did it take so long?
Well, earlier last month, constituent assembly ware granted a power to reshape the constitution draft as well as adding issues that were left out in the previous draft.
Though the extent of that authority lacks specification, this does serve as a propellant into the right direction, given it provides a possibility of inclusion of a dual citizenship clause.
My stance on this issue should not be mistaken, winning the political battle over dual citizenship is immensely important to me. As a Diaspora’s member and a person who believes in progressive values, this debate attests that our country is slowly, but assuredly, advancing toward equal human rights.I would much rather have the referendum passed in 2014 than never have it passed at all. 
I also understand that it has faced a pretty staunch political fight up until this point, but I don’t really understand why.
If one person could articulate to me a coherent reason why Tanzania should not have dual citizenship, I would surely listen to what they had to say out of pure curiosity. 
The problem is, though, that none of them have remotely convinced me of the rationality of their opposition. The first, and most common, argument I hear against dual citizenship derives its basis on the value of loyalty. That is, dual citizenship implies split loyalty and one can never be truly loyal to two countries.
This argument is always something of a convenient fiction. To begin, there are numerous benefits to our country, such as in the realm of global competitiveness, when dual citizenship is embraced. It is not an accident that many countries including, our neighbors Kenya, Uganda, Burundi and Rwanda have adopted dual citizenship laws.
In response to those claiming it is unpatriotic (uzalendo) to have more than one passport; it is, after all, unrealistic to approach a debate over the dual citizenship through the lens of nationalism. Dual citizenship should be viewed as an opportunity to take advantage of the vast talents, ualifications, skills, expertise and experiences of our unrecognized nationals in Diaspora. 
Other, more logical, arguments against dual citizenship exist, but nonetheless, are not without fault. For example, many opponents of dual citizenship claim it will lead to an influx of Tanzanians coming home to take jobs (kula huku na kule).
This argument is unfair, considering that the Tanzanians in the Diaspora have also made homes in their new countries. Some have housing payments, debts, school age children or college age children that they are still obligated to. 
Dual citizenship will mostly provide the opportunity for some Tanzanians in the Diaspora to travel home without harassment, to own home, to start a project, conduct research and above all, be able to participate in the growth of our country. 
One of the absolute worst, and irrational arguments on this issue, is that dual citizenship gives leeway for nationals in the Diaspora to take over political positions. I am astonished that this is actually being considered a pragmatic argument.  
First and foremost, these individuals need to understand that, under the dual citizenship laws Tanzania’s government will reserve its right to decide what type of restrictions it wants to impose on dual citizens.
Furthermore, many countries restrict dual citizens from running for specified offices such as the office of President and Vice-President. 
And, in some instances, other countries have established a residential requirement. 
In Nigeria, for instance, the law requires a person to live in the country for 3-10 years before he/she can qualify to run for any office. Ideologically, some people may never wish to acknowledge and accept the realities of the changing world, even in the height of fact -based evidences.
But by denying Tanzanians in the Diaspora the right to have dual citizenship, we are not only denying them a  constitution right, but also specific rights that would otherwise be guaranteed to all Tanzanians, whether it is permission to enter or leave a country, as often as they wish, or  be it purchasing a home and business.
To withhold these rights, on the basis of unsubstantiated arguments, is an affront to humanity. I commend Tanzania’s Constitution Assembly, for realizing a problem and making efforts to mend it, but why is it taking so long for the 77 percent of Tanzanians, who are in favor of dual citizenship (according to the polls) to bring the matter onto the ballots?   

 MOHAMED MATOPE IS A CONTRIBUTOR BLOGGER AND SYNDICATED COLOMNIST FOR VARIOUS AFRICA’S MAGAZINES.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 51 mpaka sasa

  1. This is a valid contribution which we should be deliberating on, its key that we know facts about dual nationality and think of it on a larger scale than what some of us are doing now, I for one totally support dual nationality and pray that my fellow countrymen will realize that there are more positives than negatives in this agenda!!

    ReplyDelete
  2. HONGERA kwa makala hii na nakuunga mkono mwandishi. kiufupi nadhani argument zetu zote watanzania tulioko nje tunaziona ni valid na kweli zina uzito ndani yake. Kazi iliyoko mbele yetu ni kwanza kuwaelimisha wale Wabunge wa Bunge la Katiba hao 600 ili hili suala lipigiwe kura kwanza. na wakimaliza Bunge likipita ndio tulirudishe kwa Wananchi kwa njia kama hizi za Blog kuwaelimisha kwa Makala na labda vipindi vya maredioni na matelevisheni ili nao walipitishe kwenye referendum. Kama tunaweza sasa hivi kupeleka nguvu zetu kule Bungeni either kwa kuwatafuta Wabunge wale tuongee nao mmoja moja kila anaemjua wake na vilevile kuwasiliana na muwakilishi wa Watanzania wa Nje Bwana KAdari alietokea Marekani kujua kinachoendelea ni nini . Na vilevile kwa sasa nandani ni muhimu tukiandika Makala tutumie KISWAHILI ambacho ndio lugha ya Taifa bado Tanzania. kwa uzoefu wangu wengi hawasomi Makala zetu zikiwa ndefu na hususan lugha ya kiingereza. mtu anataka kupita kwenye blog aangalie mapicha tuu na kusoma vitu vifupi. lakini tukiwa pamoja hususan watanzania nje ya Tanzania na pande zote za ulimwengu hili tutapita.

    Mariam.M

    ReplyDelete
  3. Mohamed, I don't understand what you mean by being "prideful". Could you please elaborate this before I read further!

    ReplyDelete
  4. Nakubaliana na hoja za Bi Mariam. Kwanza tutafute njia ya Bw. kadari kutujuvya yanayojiri. Vinginevyo atamwakilisha nani? Sijui kama anasoma makala zenye kuonyesha kiu yetu ya habari hizo.

    Pili, mwandishi wa makala hii amekuwa too theoretical. There is little substance in the arguments being made. The claim that dual citizenship is a constitutional right, is to say the least absurd. Which constitution? The US? In addition calling those who do not share our views as irrational does not help securing the sympathy and understanding of those we wish to engege.

    ReplyDelete
  5. Typical Tanzanian, you guy above. First elaborate why should Mohamed do that, and later tell us who the hell do you think you are. If not interested to reading this, get a job! Typical Tanzanian snob, that is what you are.

    ReplyDelete
  6. prideful - joyful and proud especially because of triumph or success; "rejoicing crowds filled the streets on VJ Day"; "a triumphal success"; "a triumphant shout"

    UPO HAPO MJOMBA ELABORATOR???

    ReplyDelete
  7. Mohamed, kitendo cha kuituma makala yako kwa mamilioni ya watanzania waisome na makosa kibao kinadhihirisha kuwa hata swala la "dual citizenship" unalichukulia kirahisi mno. Wewe na wenzako hamjalitafakari swala hili kwa kina. Nchi yetu ni changa inayopigana kwa taabu kwelikweli kusimamia mambo ya wananchi wake waishio Tanzania. Sasa mnataka kuiongezea mzigo mwingine wa kusimamia hata wale waishio nje ya nchi (wema na wabaya). Wengine ni wema lakini tukubaliane kuwa wengine ni hatari kwa maendeleo na amani ya nchi yetu. Tunawa-control vipi maadui wa nchi yetu na taasisi zetu zilivyo na uwezo mdogo? Tafakari!!!

    ReplyDelete
  8. Jamani wakati umefika hawa Wajumbe sijui Wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba wapitishe tu sheria ya uraia pacha...tumechoshwa na hii lia lia kutoka kwa WATANZANIA wenzetu walioko huko nchi za ngambo.

    URAIA PACHA KWA WATANZANIA WA KUZALIWA SIO WAGENI WENGINE...HII NAUNGA MKONO 100%.

    ReplyDelete
  9. Ahhhh sidhani kama litapita hilo maana wabunge wengi wa bunge la katiba ni vichaa na wanajifanya hawataki kusikia wala kuona. Tusubiri tutaona maana wao kuweko nje kwa wanadiaspora ,wengi wao haiwasaidii kitu.Sijui wataelimishwa vp mpaka wakubaliane na maoni na vilio vya wanadispora..

    ReplyDelete
  10. Kuna mchangaiji anadai kuwa nchi yetu TZ ni changa na maskini therefore urai pacha utaleta matatizo . Siyo kweli hata kidogo majirani zetu Kenya,Uganda Rwanda,na Burundi wanaruhusu urai pacha. Je wao sio sawa na sisi "nchi Changa na Maskini"
    Kwa nyongeza hizo nchi zinazo ruhusu urai pacha hazija pata matatizo yalio sababishwa na urai pacha.

    ReplyDelete
  11. First why using a foreign language to push for dual citizenship?

    Secondly probably you despise Kiswahili language because many debates in Kiswahili here in the Globu ya Jamii have elaborate well the economic risks of allowing dual citizenship.

    Thirdly Every country have different economic advantages so because say for example if capitalism works for one country it doesn't mean socialist mode of Scandinavian economy system is bad.

    Tanzania is still at economic development infancy in trying to protect itself from 'opening the flood-gates'.For example in taxation area to allow owners or even staff of Multinationals to use dual citizenship to avoid paying tax by staying in Tanzania for 3 months and 9 months in another country using dual citizenship.

    There so many other examples of disadvantages economically which go with the abusing of dual citizenship like millioners and billionaires living in two different countries to avoid tax in one year.

    Next time if you a true son/daughter of Tanzania please present your arguments in Kiswahili our national language.

    ReplyDelete
  12. Haka kawimbo cha kutaka umarekani huku mkikumbuka ndugu zenu kanakera?
    kwani mlilazimishwakwenda huko si njaa zenu bana?

    ReplyDelete
  13. Hakuna nchi ya East Africa yenye maadui nje ya nchi kama Rwanda lakini bado imeruhusu urai pacha.
    Hao wapizani wa Kagame wa nje alio wamalinza sehemu mbali mbali(in south Africa or in Kenya) wala hawakuwa na urai pacha ingawa inchi yao inaruhusu.
    So its pointless kuoonisha urai pacha na upinzani au adui wa inchi.


    ReplyDelete
  14. Tatizo la wabongo wanadhani uraia US unapewa kama njugu. Green Card until you became neutralized citizen ni safari ndefu. US gaverment kwanza wanakuchunguza kama una makosa yoyote ya jinai. Vilevile wanakuangalia usije ukawa mzigo kwa serikali(Public Charge)Shughuli yote kama inaenda vizuri mpaka uwe raia ni miaka mitano.
    Mexico uchumi wake unategemea raia wao walioko US. Wabongo waliangalie hilo kuliko kuwa wanafiki. kwanza watu wanaotaka dual citizenship ni Watanzania to begin with. tatizo jingine la dual citizenship ni sababu immigration issues is so broad na hii tunayoipigia debe ni kwa raia wa Tanzania ambao wanataka kuretain uraia wao sambamba na uraia wa nchi wanayoishi.

    ReplyDelete
  15. Please post this hakuna matusi;

    Ndugu yangu Matope I know you for long time since your at school for talented kids (mzumbe-morogoro ya enzi zile)
    I will tell you why suala na urai pacha hapa TZ ni sawa na kikimbizana na upepo.
    Wanasiasa wabongo (chama tawala)wanalitumia jambo hili kama fimbo ya kuwa-kusanya na kuwaduwaza watanzania waliipo inje kwenye zizi lao .
    Kama umeisha kufuatilia inapokaribia wakati wa uchaguzi ndipo utawasikia kakiliongelea kwa bidii kubwa kanakwamba they are working on the issue so hard,after election every thing remain silence.
    Wanafanya hinyo ili kuwapumbanza watanzania waiopo inje wasije wakaanza kwa nguvu to support opposition,kwani kuna nyama hapa bongo suala la urai pacha limo kwenye ilani nzao. Ikisema wazi kuwa "hakuna mtanzania wa kuzaliwa atakaye poteza urai wake kwa njia yoyote hata kama akimua kuwa na urai wa nchi nyengine".
    Could someone tell me what ilani ya chama tawala said about urai pacha.
    My friend hii Serikali yetu ya sasa will not make dua citizenship happed, they use this issue for their own advantage.
    Thanks.

    ReplyDelete
  16. Mohamed ameeleza kwa kifupi faida za uraia pacha kwenye nchi zilizoendelea na nchi zinazo endelea. Kwa sababu ya kutawaliwa na wakoni miaka iliyopita, Africa nzima ina matatizo ya kependekeza uraia pacha- lakini nchi chache zimejitokeza kutatua tatizo hilo: Ghana, Uganda, Kenya, Ethiopia na nchine nyingine. Wananchi wa nchi hizo waishio ugaibuni walitatua tatizo hilo kwa kutumia umoja wa vikundi- Grassroots- pamaja na –Lobbying forces- kufundisha wabunge wale wanopinga uraia pacha kwa kutumia wataalmu wanojua faida za uraia pacha. Sisi watanzania wa ugaibuni tunatakiwa tufuate utaratubu huo ambao walifanya wenzetu wakafanikiwa kuwa na uraia pacha. Kwanza tugawanyike katika makundi mbali mbalii-grassroots- ili tukusanye pesa zinazotosha kuwalipa wataalamu wanojua hili jambo la uraia pacha na wana uhusiano na wabunge wanaopinga uraia pacha. Pesa hizi zitatumika vile vile kwa gharama nyingine ambazo zitakiwa kwa shuguli nyingine kama ukumbi na vyombo vyake. Tuna estimate $ 50,0000 au zaidi au kila mtu atachanga dola $25.00 au uwezo wake.
    Kinachotakiwa ni kukahakikisha kuwa Mr. Singo (1/600) ataweza kupata msaada wote wa kufuatia utaratibu utakaopendekezwa na washauitri wake. Wakati umefika wa kufanya matendo na sio maneno. Siku silizobaki ni 50 tu.

    Temba

    ReplyDelete
  17. Mohamed Matope:

    Kuwa UMETUPAKA MATOPE kama jina lako lilivyo mimi ninakujibu kwa Kiswahili ili kila Msomaji humu aelewe vizuri:

    1.KWANZA KWA KUTOA MAONI YAKO AMA RAI YAKO KWA KIINGEREZA INADHIHIRISHA NI JINSI GANI MANAO DAI URAIA WA NCHI MBILI MTILIWE SHAKA KUHUSU KUSHABIHIANA NA JAMII YA KITANZANIA.

    INAONYESHA WAZI YA KUWA HUKUONDOKA UTOTONI TANZANIA HIVYO HUNA SABABU YA KUTOA MAKALA YAKO KWA LUGHA YA KIINGEREZA.

    PAMOJA NA MADAI YAKO YA KUWA MTALETA UJUZI (TRANSFER OFSKILLS) KUTOKA HUKO KUJA TANZANIA, NINA WASIWASI KWA MATUMIZI YAKO YA LUGHA YA KIINGEREZA SIDANI KAMA UTAWEZA KUWAFIKISHIA WATANZANIA WA KAWAIDA HUO UJUZI WAKO, KWA KUWA LUGHA INA ELEWEKA NA WENGI NI KISWAHILI HIVYO ULITAKIWA UJIELEZE KWA KISWAHILI.

    2.BUNGE LA KATIBA SIO JUKWAA LA HURUMA LA KUWAFIKIRIA TU NINYI MNAODAI URAIA WA NCHI MBILI, PANA MAMBO MUHIMU ZAIDI YA SUALA LENU.

    KUDORORA KWA KASI YA BUNGE HILI HAKUNA MANTIKI YA KUWA WATU WANAWAFIKIRIA NINYI, LA SIVYO HIVYO.

    3.USIFANANISHE TANZANIA NA MAJIRANI ZETU KAMA KENYA, UGANDA NA RWANDA, TANZANIA NI NCHI AMBAYO IAJITEGEMA KWA KILA KITU KUANZIA SERA NA MSIMAMO WAKE.

    KAMA MAJIRANI WAMERUHUSU MAMBO YA URAIA WA NCHI MBILI NI KWA SABABU ZAO NA NJIA ZA KUSULUHISHA MTATIZO WALIYO NAYO WAO, NA KUWA TANZANIA SIYO NCHI YA KUIGA MAJIRANI ZAKE.

    4.DUNIA INAZO NCHI NYINGI TU AMBAZO HAZINA URAIA WA NCHI MBILI.

    5.HATUWEZI KUJIGHARIMU KWA KUWAPA PASIPOTI YA PILI WATU AMBAO HAMUAMINIKI (NINYI NI NYOKA WA VICHWA VIWILI KAMA MNAVYOTAKA PASIPOTI YA PILI SASA) AMBAO WENGI WENU MLIPOONDOKA TANZANIA MLITOA KEJELI NYINGI SANA PAMOJA NA KUICHAFUA NCHI VIBAYA HUKO MLIKO ILI MUWEZE KUJIPATIA , HAKI ZA UKIMBIZI, MAKARATASI AMA SHERIA NA URAIA.

    UZALENDO WA KUIPENDA TANZANIA IMEKUAJA VIPI SASA?

    MLITAKIWA MUONYESHE UZALENDO WENU KWA KUSHIRIKI KTK UJENZI WA TAIFA KWA HATUA ZOTE ZA UKAZI WENU NJE YA NCHI TOKEA MLIPO ONDOKA NA SIO KUIKANA NCHI NA SASA MNAITAKA TENA.

    KAMA NI SUALA LA KUWAFIKIRIA TUNAWEZA KUBADILISHA SERA NA KANUNI ZETU ILI TUWEZE KUWAPA NAFASI NINYI MUWEZE KUSHIRIKIANA NA SISI KTK UJENZI WA TAIFA LETU SISI WATANZANIA WA PASIPOTI MOJA NA NCHI YENU YA ASILI KWA NINYI WA URAIA WA NCHI ZINGINE.

    MOHAMED MATOPE: WAELEZE WENZAKO,MESSAGE SENT!

    TANZANIA DAIMA PASIPOTI MOJA!!!

    ReplyDelete
  18. HALLO MSIJIDANGANYE HAKUNA KITU HICHO ETI URAIA PACHA TANGU LINI MMECHANGANYIKIWA NAONA AU MABOX YAMEISHA WATOA AKILI, SI MLIKUBALI WENYEWE KUUKANA URAIA WA TANZANIA SASA INAKUWAJE MNAUTAKA TENA , PERSONALLY NAONA KAMA WOTE MNAO TAKA UNGA MKONO JAMBO HILI MMECHANGANYIKIWA , BYE, BYE, BYE ,BONGO INAPETA KWA KWENDA MBELE.

    ReplyDelete
  19. Iam a Tanzanian living in Dar. I support this dual citizenship. I love my fellow Tanzanians living abroad. My advice to these Tanzanians is that, you should always be close to your country. Be happy,this time things will be OK. Mr. Matope why should you use that common wealth language? You should promote our Swahili please

    ReplyDelete
  20. No, No to Dual citizenship.

    Using human rights after breaching the current Act/law which forbidden you to possess dual citizenship is a crime.

    Kiswahili is our national language and if you want the broader population to listen to you pleads you should use our national language or you want foreigners to hear an feel for the pain of your wrong doing?

    Even countries which allows dual citizenship usually GIVES YOU A BIG WARNING that if you possess more than two passports of different nationality says if you face difficult abroad the will not come to rescue you, because you are outside USA, UK, Sweden borders.

    So to make things easier for you just continue to hold you new citizenship close to your chest.

    ReplyDelete
  21. Bro Michuzi,
    Naomba utupe msaada wa mailing address, namba za simu, au email za hao wajumbe wa bunge la katiba ili tuweze kuwaandikia moja kwa moja kuliko kuudhiana na majibu ya wabongo waliojichokea na maisha.
    Manaake hakuna tofauti na Mwalimu nyerere alivyosema kuhusu kubaguana, wao na sisi,ndiko mjadala unapoendelea kama utakaa kwenye blogu na watu wanatoa maoni potofu kuhusu dual citizenship.
    Ukitupatia hizo information Bro Michuzi utakuwa umetusaidia sana kuliko majibishano kwenye comments ambazo hazijengi bali zinabomoa dhana nzima ya dual citizenship.
    I thank you in advance and I hope you will take care of this matter.

    ReplyDelete
  22. hello

    1. Could you elaborate further on how your constitutional right is denied for not having a dual citizenship. As far as we know our current constitution prohibits dual citizenship.

    2. Where and when did you conduct your polls that says 77% of local Tanzanians support dual citizenship?

    ReplyDelete
  23. Wabongo bwana kila mara tunajitia lugha yetu, lugha yetu. Mbona shule za sekondari zinafundisha kingereza.
    Mbona vyuo vikuu vinafundisha kingereza. Mimi nafikiri muhimu ni ku-focus kitu gani au ujumbe gani anataka kusema. Kila nchi kwenye masuala ya citienship kuna kuwaga na condition tofauti. Sasa sisi badala ya kujadiri condition tunapinga moja kwa moja. Kwenye condition kunaweza kuwepo vitu kama lugha kiswahili, kuzaliwa Tanzania, education. Hizi ndizo baadhi ya condition wanazotumia wenzetu.

    ReplyDelete
  24. Hivi Hutu MTU anayetaka uraia pacha ni Mtanzania wa aina gani. Maana anashindwa hata kujua kuwa contacts zote za wabunge zinapatikana kwenye tovuti ya binge. Bro Michuzi wasikusumbue. Kama ni issue ya Uraia wa nchi mbili achukue uraia wa marekani na Libya.

    ReplyDelete
  25. Acheni upuuzi waTZ!! KKY - Kama Kawaida Yetu!!

    Haijalishi mtu ameandika kwa kiingereza au kiswahili kuhusiana na hili swala la dual citizenship. Kwa kila lugha zote hizo 2 meseji sent!!

    Argument zingine bogus kweli!! Passport zinalipiwa sasa iweje unayepinga uraia pacha useme hakuna kutoa kwani serikali italipia paspoti 2!! Really!! Na kwa nini mjumbe hapo juu anapayuka namna hii kutuandikia kwa herufi kubwa??

    Kwa nini sisi waTZ tuliopo hapa bongo tujali sana mtu kupata riziki yake nje ya nchi? Elimu, ujuzi, ndoa etc., zinamkwalifai mtu juapply na kuupata(au kuukosa) uraia wa nchi anakoishi. Sasa huyu mtu anataka kurudi bongo ashiriki ktk maendeleo - sasa sisi huku bongo tunamnyima haki zake za msingi za uraia wake wa TZ eti kwa sababu amepata uraia wa nchi nyingine! Upuuzi na ufyolo mkubwa!!

    Hao wageni wanaokuja TZ na kuoa au kuolewa wanakwalifai kuuomba uraia wa hapa manake ana mke au mume. Nchi yake alikotoka bado inamtambua ni wa kwao ila amefanya makazi na amepata mke/mme huko aliko na poa tuu akipata uraia wa huko....sasa sisi kufanya the revesi kuna tatizo gani???

    ReplyDelete
  26. Mnapoteza muda kujadili na jamaa wasiojielewa, wivu, chuki na fitina kibao zimejaa kwenye mioyo yao. Watu wa Ughaibuni msilazimishe. Wabongo akili zetu zimeganda, toka lini ukalizimisha wawekazaji? Unawabembeleza kwa kuwapa kitu fulani. Mfano wanalipa kidogo au awalipi ushuru, labda wanapewa ardhi kulima chakula kiasi fulani kinakwenda kwa watu masikini au kama hivi wanapewa uraia. Wabongo kitaifa tuko nyuma sana kwa elimu ya maendeleo na inaonyesha watu wanavyotoa maoni humu. Kwanza watu wenyewe wanaondika humu wanaonekana kabisa labda wameenda shule, lakini hawana busara. Mfano, kuna jamaa ameandika kwa herufi kubwa ukurasa mzima, ili iweje?! Vile vile sababu zao hazina utafiti.Kuna jamaa wanamkaripia Kaka Mohamed kwa vile kaandika kwa Kiingereza. Mbona mara nyingi nimeona viongozi mliowapigia kura wanatoa hotuba kwa bibi na ndugu zetu kwa Kiingereza? Mnawapigia makofi kuwa ndiyo wasomi na wala hamuandamani?!. Nawaomba jamaa wa Ughaibuni muongee moja kwa moja na wahusika. Naelewa mnataka kueleimisha Umma na vile vile manafanya hivyo kwa vile mna upendo na kwenu. Mie siutaji uraia wa Bongo. Maisha bado yanakwenda vizuri sana. Na jamaa hao hao ambao wanatuongea vibaya humu wataendelea kutuomba vipesa toka Western Union au Airport. Kweli tenda wema nenda zako, la sivyo utapigwa ya punda.

    ReplyDelete
  27. Wandugu madiaspora.Kwenu ni rahisi kuitamka theory ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.Lakini hadi sasa hamna mlilolileta katika aspect au nyanja yoyote ile.si katika viwanda,si katika kilimo si katika uvuvi na wala si katika teknologia.Mwana diaspora akiwa daktari mzuri hayuko tayari kuja Tanzania alau kwa miaka miwili kutoa huduma katika hospitali ya alau ya wilaya.Kama ni profesa mzuri hayuko tayari kuja kuhadhiri Tz na kama injinia mahiri hayuko tayari kuja kuonesha ubingwa wake kujenga alau bara bara ya Kisarawe.Hakuna TZ ikipatacho kikubwa kutoka kwenu.Inachokipata ni zile pesa tu za viza kwa wale wanaomiliki mikoba ya nje. Na hilo kwa sasa labakia ni chumo kwa Taifa hili kutoka kwenu. Kama madispora elfu 5 wameingia Tz na kila mmoja akilipa dola 50 za viza basi ohoo ndo mmeingiza na mkipewa uraia pacha fedha hizo Tz itazikosa na ndio hivyo hivyo mkitumia ports mtaendelea kuhesabiwa kama ni foreigners na mnachangia airports charges kama ni wageni.Au hayo yanawaumeni alau kuchangia katika njia hizo.Endeleeni kuwa ni wageni ndani nchi yenu madam mliikanya na kuipaka matope.

    ReplyDelete
  28. Mimi kama Mzanzibari ninae ishi nje, naunga mkono uraia wa nchi mbili ili watoto wetu waweze kupata haki zao kwa wazee wao, uraia huu sio kosa wala jinai, wala halitakuwa na athari yoyote kwa Watanzania.

    Ikiwa bunge la katiba halitapitisha uraia wa nchi mbili ni bora suala hilo likatolewa kwenye orodha ya mambo ya muungano wazanzibari wakajiamulia mambo yao, hapa UK kuna wazanzibari wasipungua elfu 10 hivyo basi hatutakubali kubuzwa na viongozi ambao wapo hapo kwa maslahi yao tu.

    Kama hamutaki uraia wa nchi mbili tuachwe tupumue wazanzibari.

    Sitokubali mtoto wangu awe anakuja Tanzania kama mgeni wakati baba yake mimi ni Mtanzania Mzanzibari halisi.

    ReplyDelete
  29. Mdau ulioandika kwa kuanzia kusema"Mnapoteza muda..." mie naona wewe ndio unapoteza muda wako katika kudhani ukipeleka vijipesa kwa Western union ndio wadhani umefanya la maana kwa jamii au Taifa.Elewa kwa jamii au Taifa hilo si chochote au si lolote.Kama wewe ni mfatiliaji wa majadiliano haya,basi juzi ankal aliweka picha safi sana ya aliyekuwa mwanadiaspora na akaamua kuwekeza TZ katika ujenzi wa hoteli pale Lindi.Ninachotaka kukueleza ni kuwa ile initiative yake ya kubuni mradi ule jamii kwa sehemu kubwa wamenufaika maana tangu ujenzi jamii imekula,hadi jengo kuwa tayari,wachonga fanicha wamefaidika,na sasa insurance na revenue wanafaidika yaani taifa wale wafanyakazi wanapata riziki zao,na hata wakulima wa mazao yanayotumika hotelini mle wanafaidika.Sasa wewe unapotuma fedha kwa hiyo njia ya western Union ujuwe unawanufaisha wenye kampuni hiyo walioko nje ya TZ mana hiyo si kampuni ya Tanzania nahata kama mhudumu wa Tz wa western union atapata lakini hakuna msururu mrefu wa jamii kubwa wanaofaidika na wewe kukitowa ulichodai unaombwa. Amka mwezetu mana unaonekana umo katika usingizi wa giza totoro.Ifanyie la maana Tanzania sio kuleta vijipesa vyakununulia dagaa na mchicha.

    ReplyDelete
  30. yaani nashangaa sana na suala la uchanga wa taifa. mbona nchi za Asia ambazo tulipata nazo uhuru hazijiiti tena nchi changa. Tanzania siyo changa bali ni nchi yenye viongozi wasioipenda. upande wa risk za uraia pacha, kwani waliotoroshea pesa uswizi au visiwa vya Jersey wana uraia pacha. hizo pesa zao zinalipiwa kodi huko zilipo? binafsi naona tatizo la watanzania ni uthubutu. yaani wanaogopa karibia kila kitu. sababu za kuukataa naona hazina ukweli. kwa taarifa ya wanaokataa; tukiruhusu huu uraia pacha tutafungulia mitaji mingi sana na mikubwa mno.

    ReplyDelete
  31. Kwani ndugu madiaspora (muhajirina),ni lipi au yepi ambalo ni kikwazo kwa mnayotaka kuifanyia Tanzania na lisifanyike kwa kuwa tu nyinyi si wamiliki wa paspoti mbili?Au mwataka kuleta pepo huku na mmeziwiliwa hamna uraia pacha.Msidanganye mkawaona wabongo ni wapumbavu jamani.Kwasababu mimi naona kama unataka kuleta meli moja au hata tatu za uvuvi hukatazwi ima huko kuinunua ukaleta au hapa hukatazwi kuzileta.Hapa taratibu zitakubana tu kuwa wewe ni muwekezaji na ufate masharti ya wawekezeshaji. Kama wataka kujenga hospitali, Tnzania haikukatazi kujenga lakini ufate masharti tu yaliyowekwa.Kama wataka kuleta meli za abiria lete rukhsa hukatazwi na ni ruhusa hata kuziandikisha chini ya flag ya nchi yoyote ile uitakayo. Kama wataka kuleta mamilioni ya dola au pounds hilo halikubaliki hata ukiwa raia wa Marekani au Uingereza,lazima wenye kazi zao huko wakuweke chini ya surveillance kwa undani zaidi nini lengo lako. Lakini Jee ni mwanadispora gani kati ya wapiga mopu na wachukuzi wa maboksi wenye mamilioni huko?

    ReplyDelete
  32. Majibu yako Bw Mohamed Matope yapo hapa.

    Chagua moja, Weka Tanzania kwanza, kama uliona unataka kuwa mzungu na kuchagua Passports nyingine na kuona Tanzania ni ovyo kuliko uraia wako wa sasa kwanini hivi leo unataka Passport ya Tanzania??.

    ReplyDelete
  33. Uraia nchi mbili ni muhimu sana kwa maendeleo endelevu(Sustainable Development).Wivu wa watu hawajwahi kusafili na kuishi nje uishe.I think this gonna rain, is very terrific ambition for the country's devolution. Tunataka pia county governments in TZ kurahisisha social services to the common mwananchi na kuwa na ma MCA's kama wabunge katika serikali za counties then kuwe na National Gov pia.

    ReplyDelete
  34. Baadhi ya watanzania hawajui kabisa maana ya dual citizen, kwa kifupi unaweza kumpa mtu Dualcitizen na hapo hapo ukamwambia hakuna kufanya Overtime, au hakuna kuuza mitumba kariakoo au hakuna kuwa na wake zaidi ya mmoja au hakuna kununua bia ya Safari nk. Dual is very simple if you understand it's role. Lakini kwa baadhi ya Watanzania ni kama uasi, mimi nadhani tuwaachie watanzania wenye kuelimishwa, kuelewa na kukubali na siyo Ushindani Hakuna atakayepoteza. Hata Idi Amini alipenda kuzikwa nyumbani bila hata kusaidia Nyumbani. Australia uwezi kuwa waziri mkuu na hiyo Dual lazima uikatae moja.

    ReplyDelete
  35. Ndugu ulioandika kuwa wewe ni Mzanzibari.Yaelekea hujui unachokieleza.Wengi wenu mmeupata huo mkoba wa UK chini ya kivuli cha kujidai ni Wasomali. Na kama likitokea la nyinyi kuhamishwa huko mjuwe mtarembewa Somali na sio kijiweni Zenj mana hao mliowadanganya ndilo wanaloliamini .Na Zanzibar hivi sasa haikutambuwini kuwa nyinyi ni wazanzibar maana hamna Vitambulisho vya Uzanzibari wala hamna vitambulisho vya Mtanzania. na wala hamna Pasi za Tz. Nyinyi ni mayatima na ni kama wageni ndani ya nchi yenu wenyewe.Nyinyi sasa ni Wasomali wa Uingereza,mpo hapo.Ombeni Uraia wa nchi mbili kwa Uingereza na Somalia na wala sio Tanganyika na Zanzibar kama unavyoliona wewe.

    ReplyDelete
  36. Mdau ulienijibu kuhusu "wadau kupoteza muda......" Soma tena maoni yangu. Naona ujanielewa. Siyo kila mtu anapenda kujitangaza kwamba amefanya iki au kile. Malipo yote kwa Mungu. Kwanza watu tulivyo na roho mbaya (Kama mnavyoonyesha hapa hamchelewi kumfanyia kitu kibaya). Mfano mzuri Kajumulo hana hamu na wabongo. Na wengi tunajua ni jinsi ghani jinsi alivyowekeza. Pili, siyo kila mtu ana uwezo wa kuwekeza kwa vile yuko Ughaibuni, si nyie wenyewe mnasema tunapiga boksi au fagia mitaa lakini afadhali atumwibii mtu. Sasa ndugu zenu tuna hela ghani?! Naona jamaa mnalazimisha watu wakae Bongo bila kazi za kufanya tukabaki tunapiga vibomu wale wale tunawakataa Ughaibuni. Ndiyo maana nasema siye elimu yetu ya maendeleo ni ndogo. Sasa hivi naelewa kwa nini jamaa alisema bungeni"akili ndogo inaongoza akili kubwa TZ" NARUDIA TENA SIITAJI URAIA WENU KAENI NAO. Sipungukiwi kitu maisha yanakwenda vizuri tu. Na kwanza badala ya kuja Bongo likizo, ni Jamaica tu. "What gwan Rasta feeling Haile"

    ReplyDelete
  37. Mohamed Matope:

    Kwanza ile tu ktk Mchakato wa Mapendekezo ya Katiba ''SUALA LA URAIA WA NCHI MBILI LILISHA WEKWA KAPUNI'' mlisha wekwa chali na kupigwa Kisu na mapemaaa, hivyo hamkuwa na chenu tokea muda huo.

    Pia kwa kupelekea kwenu kutafuta Makaratasi ya Sheria huko Majuu, Kupata Haki za Ukimbizi Majuu na Kupata Uraia huko Majuu:

    1.Mlisha inyea Pasipoti ya Tanzania,
    2.Mlisha unyea Utanzania,

    Ni wazi ktk harakati hizo hapo juu ya kutafuta Sheria za Ukazi wa Majuu mlisha mwita Raisi wa nchi na Nchi kuwa hazikuwatendea haki.

    Mlisha toa ushuhuda wengine mkidai Kikwete amewafunga Kisiasa na kuwatesa hivyo mkatoroka na mnaomba hifahdi Ugenini.

    Iweje leo tena ninyi ninyi mna muomba huyo huyo mbaya Raisi Jakaya Kikwete awape Pasipoti yake?

    ReplyDelete
  38. Kutokana na Akili yenu kuwa finyu, kwa kuwaza kuyafikia Malengo ya maisha ya muda huu tu.

    Mlivyo kuwa mna ukana Uraia wa Tanzania hamukuona kama Utanzania una maana?

    Iweje leo mnautaka tena Utanzania?

    ReplyDelete
  39. Hakuna TALAKA REJEA KATIKA SUALA LA URAIA WA TANZANIA NA PASIPOTI YA TANZANIA, mlivyo dai Talaka kwa Kuukana Uraia wa Tanzania mlikuwa na akili timamu?

    Msituchanganye kwa kufananisha Tanzania na nchi kama Rwanda, Uganda na Kenya zilizo ingia Mkenge wa Uraia wa nchi mbili hii ni nchi inayoitwa ''JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA''.

    Tunafuata mstari hadi mstari wa Urithi wa Msimamo na Kanuni tulio achiwa na Hayati Julius Kambarage Nyerere!!!

    Mtavuna mawe mwaka huu!..DAINA TANZANIA NI NCHI YA PASIPOTI MOJA TU.

    TALAKA REJEA HAIPO KTK SUALA LA URAIA NA PASIPOTI BALI TAKALA REJEA IPO KWENYE NDOA PEKEE !!!

    ReplyDelete
  40. Mmemnyea Raisi Jakaya Kikwete mikononi weee na sasa huyo huyo mnataka awapeni Pasipoti na Uraia!!!

    Hamkumbuki mlivyo msema vibaya Mhe. Raisi Jakaya Kikwete na Tanzania yake mlipokuwa mnaomba Uraia na kutafuta Sheria huko Majuu?

    Kama mngeonana na baba Kambarage Nyerere nadhani suala la kwanza Mngefungwa Jela kwa Uhaini kabla ya kuanza kusikilizwa madai yenu ya Uraia wa nchi mbili.

    Tena ni bahati sana Raisi tuliye naye kwa sasa Mhe. Kikwete ni muungwana sana na mwenye huruma saaana, angekuwa Mzee Kambarage Nyerere kwa Msimamo wake Mkali dhidi ya Waasi nadhani asingetaka hata kuonana na ninyi kabisa akija huko Majuu!

    ReplyDelete
  41. Ndugu Mohamed Matope,

    Yaani kutuma kwenu kuja kwetu Tanzania Dola,Euro na Pound zenu hizo ''DIASPORA REMITTANCES'' ndio mnataka na Pasipoti yetu na Uraia juu wa Tanzania tuwape wakati mlisha Ukana Utanzania na mna Uraia wenu huko nje?

    Mbona Wawekezaji wa Sekta ya Gesi na Mafuta wanaingiza kuleta Tanzania Mitaji ya Uwekezaji ya Mabilioni ya US$ lakini hawajawahi kujaribu ama kuthubutu kuitaka na kudai Pasipoti yetu ya Tanzania?

    Isiwe hoja sana kudai Pasipoti na Uraia ndiyo muwekeze TANZANIA, mnaweza kubaki na Uraia wenu huko mliko isipokuwa tutarekebisha Mashariti, Sera na Kanuni ili kuwabeba na angalau tutawapa upendeleo kwa kuwa na asili ya Tanzania.

    TUNAWEZA KUSHIRIKIANA KTK MAMBO MENGI TU, MKATUMA FEDHA ZENU HUKU, TUKAWEKEZA PAMOJA NA NINYI MKAFAIDIKA NA RASILIMALI ZA TANZANIA ILHALI MKIWA RAIA WA NCHI ZA HUKO NJE.

    Sasa kudai Pasipoti na Uraia wetu wa Tanzania ninyi Mtakuwa Wawekezaji wa namna gani?

    ReplyDelete
  42. Kwa Madiaspora mlio Ukana Uraia wa Tanzania tutawarudishia lakini kwa Mashariti haya Matano chini:

    (MTAUPATA TENA URAIA NA PASIPOTI YA TANZANIA LAKINI KWA GHARAMA KIASI KAMA HAPO CHINI)

    1.Mrudi Tanzania na kukubali Kifungo cha Miezi 6 kwa kukiuka Sheria za Uraia kwa kuukana Utanzania.

    2.Baada ya Kifungo cha Miezio 6 mtawajibika kwenda Mafunzo ya Mujibu wa Sheria ya JKT na Mgambo.

    3.Baada ya Kifungo na Mafunzo ya Mujibu wa Sheria Mhe. Raisi Jakaya Kikwete atawachapa viboko 30 hadharani kila mmoja wenu atakae kubali mashariti hayo tena live ikirusha ktk TBC-One TV ya Taifa.

    4.Mtasoma Mafuzo ya Uraia ya mwezi mmoja.

    5.Mtapokea Kiapo cha Utii ya kuwa hamta ihujumu nchi na kufanya Uhaini dhidi ya Tanzania.

    Ndio baada ya hapo mtarejeshewa Uraia na kupoewa Pasipoti tena!!!

    ReplyDelete
  43. Kuna mchagiaji hapo juu amejiita mzanzibari halisi she/he is absolute right.
    Kwanza suala la urai inabidi litolewe ndani ya mambo ya muungano huku kwetu bara lisiwe miongoni mwa mambo ya kikatiba. Hapo hatutahiji maoni ya watu waoga na wasio jiamini kama ilivyo sasa.
    Swala Zima la urai pacha lipelekwe bungeni kama mswada then wabunge wakalipigia kura,na mswada ukipita inakuwa ni sheria ya nchi.
    Ni vizuri Urai pacha iwe ni suala la kisheria,ili iwe rahisi kufanya marekebisho kama ikibidi.

    Thanks for posting my comment.

    ReplyDelete
  44. Lenny, Mdau wa 33 hapo juu:

    Umesema sisi ambao hatujawahi kusafiri nje ya nchi na kuishi nje ya nchi tawaonea wivu ninyi, je sisi tumeomba URAIA wenu HUKO MAJUU? ama ninyi ndio mnaomba Uraia kwetu?

    Ninyi mliopo nje ya TZ ndio mnao tuonea wivu sisi tiliopo Tanzania na SASA MNAUTAKA NA URAIA WETU!

    ReplyDelete
  45. MIMI NAISHI UK MWAKA WA TISA HUU... NA KWA MAONI YANGU NASEMA NO KWA URAIA WA NCHI MBILI. NINAAMINI KAMA HUTAKI KUSAIDIA KWENU HUTAKI TU HATA UPEWE PASSPORT NGAPI. HAPA UK KUNA VIJANA WA KITANZANIA WENGI WANAKUJA KUSOMA NA KURUDI BONGO KUJENGA NCHI YAO, VIJANA WANA UJUZI WA KUTOSHA KULE NYUMBANI. WEWE KAMA NI EXPERT NA UNA URAIA WA NCHI NYINGINE LAKINI UNATAKA KUSAIDIA TANZANIA STILL UNAWEZA KURUDI KUSAIDIA BILA KUDAI URAIA PACHA., NINAAMINI SERIKALI YA TZ HAIWEZI KUWANYIMA 'INDEFINITE STAY' MUWEZE KUFANYA YENU HUKO NYUMBANI NA SI LAZIMA URAIA PACHA. TUSIKUBALI URAIA PACHA MWISHO WAKE TUTAKUJA KUTAWALIWA NA MASHOGA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sawa kabisa. hili swala linabeba mengi sana juu yake. ni wazi kuwa idadi kubwa ya wanaokuja huko wanakua brainwashed na maswala mengi ya huko pamoja na elimu. wakirudi huku wanataka kutekeleza hayo waliyopotoka nayo.
      Pia ni dhahiri kabisa swala la ushoga ni jambo ambalo litakua linapewa msukumo na asilimia kubwa kama sio wote hawa wanaolilia uraia pacha.Tusivuruge nchi zaidi ya hapa kwa kuongeza vitu ambavyo havina ulazima na havina tija kwa Tanzania kwa ujumla.

      NO DUAL CITIZENSHIP !!!!!!!

      Delete
  46. Hoja ya mtanzania wa kawaida (mpiga kura) hukataa uraia pacha kwa kusema "nyie si mlitukataa kwa kutu-kana, mtaka kurudi kufanya nini, kaeni hukohuko"

    Utaona hamna hoja kabisa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwisho wa yote tutarudi nyumbani,with or without dua citizenship.

      Delete
  47. Wandugu Majuu:

    PASIPOTI YA TANZANIA KWA SASA INA THAMANI KUBWA SANA SANA ZAIDI YA PASIPORTI YA USA AMA YA UK.

    HIVYO HATUWEZI KUWAPATIA TENA PASI YA TANZANIA!!!

    ReplyDelete
  48. Ni upuuzi kutumia madai ya uraia pacha kama ahadi ya maendeleo katika uwekezaji na utaalamu katika maeneo mbalimbali. Kama mtu alikua na nia angekua ameshafanya hivyo tayari. wawekezaji wangapi wapo hapa na sio raia?

    Yapo maswala mengi mazito na muhimu kuliko hili ya kutekeleza na kufanyiwa kazi.
    Equal human rights inatokana wapi na hili swala?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...