Si mwengine ila ni yule yule Mkali wa Dance Tanzania kutoka THT kwa jina la Question ambaye ametoa nyimbo yake mpya na kuonyesha kipaji chake kingine cha kuimba na nyimbo iitwayo 'Nakupenda' 
Vilevile atakuja na movie yake ambayo ipo kwenye mapishi na Action kali ambazo hazijawahi kutokea in Bongo Movies.
Sponsors wa movie hio wanatafutwa 
wasiliananae simu 0717792876.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hiyo taswira ktk movie kwenye lango la duka yenye picha za Mwanamapinduzi wa kimataifa Che Guevara na alama ya Swastika ya Hitler wa Ujerumani ya NAZI wapi na wapi ??? Ushauri utafiti wa kina wa kila scene ktk hatua ya shooting ya movie ni muhimu.

    Kwa vile movie baddo inafanyiwa ukarabati wa mwisho inabidi kila scene ipitiwe na kufanyiwa editing kuondoa kasoro mabalimbali za kihistoria, kitamauni, mwanga n.k

    Mdau
    Havana, Cuba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...