Na Fakih Abdul wa Police Press Tabora
Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda amefanya ziara katika wilaya ya Sikonge na kukutana na vikundi mbalimbali vya ulinzi shirikishi. Kwanza alikutana na kikundi cha Pathfinder (maarufu kama Maisha Plus ya Tabora) kilichopo katika kijiji cha Tumbili kata ya Tutuo wilaya ya Sikonge na kuwafundisha mbinu mbalimbali za ulinzi shirikishi na dhana ya Polisi jamii kwa ujumla wake, pamoja na kuwapatia mazoezi ya ukakamavu
Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda akiongea na mojawapo ya vikundi vya ulinzi shirikishi mkoani humo
Vijana wakifundishwa mbinu mbalimbali za ulinzi shirikishi na dhana ya Polisi jamii kwa ujumla wake
Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda akitoa maelekezo kwa vijana hao
Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda akisimamia zoezi la ukakamavu
Kamanda wa Polisi Mkowa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzana S. Kaganda. Picha na Fakih Abdul wa Police Press Tabora
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...