Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi Kinana keshaonyesha nia ya kugombea uraisi? Hayo ndio maneno watanzania tunataka kusikia kutoka kwa kiongozi. Kiongozi anaewafumgua macho wananchi wake ili wasidhulumiwe! Kama kweli akiweza kuhakikisha utekelezaji wa hayo anayosema na katika muda muafaka (sio miezi wala miaka), basi huyo atafaa kabisa kum-consider.

    ReplyDelete
  2. Nampenda sana huyu baba ni kati ya viongozi wanaoifufua CCM .anafaa kuwa kiongozi wetu

    ReplyDelete
  3. Wagombea Urais-Watarajiwa wote toka CCM, CHADEMA, NCCR ni wa kutoka kanda ya Kaskazini!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...