Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi wa kijiji cha kiboje uwandani alipowasili katika kijiji hicho leo Machi 2-2014 kwa ajili ya kufungua msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliojengwa na baadhi ya wafadhili kwa kushirikiana na Muwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohammed Raza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakiondosha kitambaa kuzindua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli leo Februari 2-2014 uliojengwa katika kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli leo Machi 2-2014 katika kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakiondosha kitambaa kuzindua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli leo Machi 2-2014 uliojengwa katika kijiji cha Kiboje Uwandani Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa kijiji cha kiboje uwandani baada ya kufungua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliopo katika kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar leo Machi 2-2014.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Kabi akiongoza Dua ya pamoja baada ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal kufungua msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliopo katika kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar leo Machi 2-2014. 
Picha na OMR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...