Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama Mpira ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya Machava ,Dickson Muganda.Jezi hizo zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3 zimetolewa na kampuni ya Megatrade ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu hiyo inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.
Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akikabidhi hundi ya sh Milioni 3 kwa kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Robert Boaz ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...