Mhasibu mkuu wa Samsung Tanzania Bw. Ibrahim Kombo (Kulia) akikabidi zawadi kwa mshindi wa mwezi Januari wa huduma ya e-warranty Bw. Sherali Faril wakati wa hafla fupi yya makabidhiano ya zawadi mbalimbali kwa wateja waliojishindia bidhaa za Samsung kwa droo ya mwezi Januari baada ya kununua simu halisi ya Samsung.
Baadhi ya washindi wa Samsung e-warranty katika picha ya pamoja na Mhasibu Mkuu wa Samsung Tanzania Bw. Ibrahim Kombo (wa pili toka kulia) mara baada ya tukio la kukabidhi zawadi kwa washindi hao
waliojinyakulia bidhaa mbalimbali toka Samsung baada ya kununua simu halisi za Samsung na Kuzisajili katika mfumo wa e-warranty ikiwa ni njia yya kupambana na bidhaa feki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...