Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi (kushoto), akikata utepe kufungua matembezi kwa ajili ya maji, yaliolenga kuihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa miundombinu ya maji nchini.yaliofanyika katika kata ya Chibelela wilayani Bahi Machi 15, 2014 (katikati), ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa, na kulia Mwenyekiti wa Kijiji cha Chibelela, Dorice Mkwawa. KWA PICHA ZAIDI NA PHILEMON SOLOMON WA DODOMA BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
MKUU WA MKOA WA DODOMA AONGOZA MATEMBEZI KWAAJILI YAKUAMASISHA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI MKOANI DODOMA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...