Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapeteni Mstaafu Aseri Msangi akiweka jiwe la msingi ujenzi wa tanki la maji lililopo Mwongolo Makete Mjini.
Mkuu wa mkoa wa Njombe kapt. Mstaafu Aseri Msangi akimsikiliza meneja wa maji Makete mjini akisoma taarifa, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro.
Meneja wa mamlaka ya maji makete mjini, Bw. Yonas Ndomba akimkabidhi taarifa ya ujenzi wa tanki la maji la Mwongolo Makete mjini Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi.
Mkuu
wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi (katikati) akielekea
kwenye ujenzi wa mradi wa maji Mwongolo Makete mjini kwa ajili ya kuweka
jiwe la msingi, kulia ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro
na kushoto ni katibu tawala msaidizi upande wa maji mkoa wa Njombe Bw.
Christopha Nyandiga.
PICHA ZAIDI INGIA HAPA
PICHA ZAIDI INGIA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...