Home
Unlabelled
ona jinsi madereva wanavyotuharibia miundo mbinu na kuvunja sheria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Madereva wa daladala hawajali sheria zozote sababu ya uswahiba na matrafiki. Matrafiki wanacheka na kima matokeo tunavuna mabua. Ulegelege na kutopenda kufuata kanuni. Hata kupakia mshikaki cku hizi haipnekani kama ni kuvunja kanuni.
ReplyDeleteNimeshasema hakuna wa kutugusa, hata hao traffic mnawasingizia kwamba tunawapa kitu kidogo. Sisi tunataka kuweka hesabu ya bosi sawa bwana! Jaribuni muone cha mtema kuni, tutagoma mtujue umuhimu wetu.
ReplyDeleteMdau umenitoa tonge mdomoni.Jana nilikuwa nimerekodi kitu kama hiki mitaa ya Uhasibu pale Kilwa road.Ni suala la sheria tu kutokufuatwa,magari ya serikali yanaongoza kwa hili(Bahadhi)!
ReplyDeleteDavid V