Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Katibu na naibu katibu wa Bunge Maalum la katiba katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma leo.
Home
Unlabelled
Rais Kikwete awaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge maalum la Katiba mjini Dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
The mdudu,naiona kwambali neema inaingia ndani ya Tanzania yetu mungu ibariki Tanzania na mungu awape ugonjwa usiotiba wale wote wasioitakia mema Tanzania yetu.mm ntaipenda Tanzania hatanikiwa na njaa.ntaipenda ijapokua nipo uingereza,ntaipenda popote ntakapokua,niko tayari kwenda vitani kuipigania Tanzania,mwisho saramu kwa watanzania wote popote mlipo na muwe sarama kabisaa.
ReplyDeleteAhsante sana Mhe.Raisi Jakaya Kikwete!
ReplyDeleteSasa tunashukuru Filimbi umesha ipuliza tumalizie mchakato wetu!
Siku zote rais yupo vizui wanaofanya madudud wengine. Jaman. Mimi nampenda sana jk. Much respect. Sita pia ni kiongozi hodar anayejiamini na afanyacho. Si mbabaishaji.katiba yenye macho na inayoona matatizo ya watanzania hiyooo yaja. Mungu awasimamie katika hili. Amen
ReplyDeleteUshauri wa nia njema. Tunapokuwa na hafla rasmi kama hizi, wale jamaa wanaosimama kule nyuma kwenye viwanja wakati wa kupiga picha wangeombwa kuondoka wasichafue madhari ya kumbukumbu kama hizi.
ReplyDelete