Takwimu zinaonyesha kwamba  kwa sasa asilimia 36% (kutoka  asilimia 10% ya mwaka 2005)  Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa.
Waziri wa Nishati na Madini 
Sospeter Muhongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Tunashukuru kwa usambazwaji wa umeme katika sehemu mbalimbali za nchi, lakini umekuwa ghali, tunaomba serikali na shirika la umeme waangaliye upya jinsi gani wanaweza wakawasaidia wanachi kwa kuwapa uememe wa uhakika na wa bei nafuu.

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Mhongo, issue siyo kuunganishwa ila upatikanaji wa huduma yenyewe, umeme unakatika sana, kiasi kwamba inatia hasira hata kukwamisha maendeleo. Kama kuunganishwa tu hata mambomba ya maji yapo majumbani wka watu ila maji hayatoki. Hebu toa takwimu za asilimia ya upatikanajiw a huduma yenu ya umeme...

    ReplyDelete
  3. Hongera kwa Wizara na Serikali kwa Ujumla. Maendeleo ni Miundo Mbinu. Unaweza Kujenga Barabara, mwingine akapitisha lori, basi, basikeli au hata kwenda kwa miguu. Wengine wanabalki KUKEJELI na KUTUSI. Hao hawana Maana. Maendeleo ni JINSI wewe Binafsi UNAVYOCHUKUA FURSA! Mheshimiwa Profesa Endelea na KAZI SAFI....

    ReplyDelete
  4. i think its about time the government ends TANESCO's monopoly and tag foreign and local investors in this industry.. or else Tanesco's bullying will never face actions

    ReplyDelete
  5. twashukuru kwa jitihada zetu
    endeleeni kuchapa kazi,taifa letu bado changa na sekta nyingi bado zinaitaji uneme kwa maendeleo......hongereni

    ReplyDelete
  6. kama mmeweza kuvuta mambomba ya gas toka mtwara hadi dar kwa nini kuna kuwa ugumu wa kusambaza maji kanda ya ziwa Victoria na mikoa yake?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...