Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Mtindo wa nywele safi kabisa, huyu hana haja ya weave wala wigi anapendeza tu.

    ReplyDelete
  2. The mdudu,hongera sn dadaangu huo ni mfano mzuri sn kwa hao mastar wetu hapo Tanzania coz wao kila kukicha MIWIGI 2 na wala hata haiwapendezi basi tu,to be honest mm binafsi mwanamke yoyote wa KIA AFRICA anaevaa WIGI mm sipatani nae nao hata akiwa nani sipatani nae kabisa,kama mm ndio ningekua rais wa Tanzania basi huo mtindo aliosuka huyu DADA ndio ungekua mtindo wa KITAIFA nchi nzima na ukijifanya kichwa ngumu ww ni rupango tu.kwa mtindo huo nchi yetu ingekua mfano dunia nzima na ingekua kitega uchumi wa nchi coz wageni wangemiminika kuja kuona tu huo utamaduni hadimu,tujiulize hivi ni mgeni gani wakuja kushangaa hiyo MIWIGI? Na rudia tena hongera sn mwanadada kwa huo mtindo adimu wa KITANZANIA,,mjomba plz nakuomba unitafutie namba ya simu ya huyo DADA ili nimtumie mijizawadi kutoka huku ENGLAND,by wenu the mdudu anaekerwa na miwigi.

    ReplyDelete
  3. Hii ndiyo asili yetu. Akina dada wa kizazi kipya mpo?

    ReplyDelete
  4. We mdau wa pili unachoga sana mbona huongelei kina kaka wanao suka nywele vipi nawao unawazimia au?

    ReplyDelete
  5. Wakati nikiwa mdogo kabisa nilikuwa nikisikia kwenye kundi la ngoma za asili la gita kule tanga wakiimba " Taifa changa limepinga lile vazi la mini siketi nywele za kubandika, ni kweli eee azimio la vijana tumelikubali....." Nikaja kugundua baadae kuwa walikuwa wakiunga mkono azimio moja la umoja wa vijana wa TANU lililotolewa huko Arusha, nadhani miaka ya sabini mwanzoni. Nchi hii ilikuwa na misimamo katika kila kitu, sijui sasa.


    sesophy

    ReplyDelete
  6. The mdudu umenikonga nyoyo, maoni yako yamekwenda shule, sina cha kuongezea hapo

    ReplyDelete
  7. wanaoweka miwigi wengi wachafu hamjashtukia chunguza. ndo maana utamkuta na vitu vya bandia kibao ujue nje feki ndani feki maigizo matupu.

    ReplyDelete
  8. unakutana na binadamu
    nywele feki,kucha feki,kope feki,makalio feki,matiti feki,mahips feki,meno feki, pata picha!

    ReplyDelete
  9. The mdudu,mdau akida thanks tuungane pamoja tuzikomeshe hizi tabia chafu za madada zetu na mama zetu ujinga mm huwa siupi chance katika maisha yangu,inaniuma sn kuona akina mama na madada zetu wakitoka kwenye uzuri na kwenda kubaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...