Ndugu Mtanzania na rafiki
wa Tanzania ,jee wewe ni mfanyabiashara?Mjasiriamali?una miliki biashara
ndogo au kubwa ?Unataka kujua hali
na mazangira ya
kibiashara hivi sasa
nyumbani na vipi
waweza kupata frame
hapa uingereza?Ungependa kujuana,kushirikiana na watu mbalimbali wajasiriamali?Wasilina nasi
ili ushiriki kongamano
la wana Diaspora wajasiriamali.Wahi nafasi yako sasa
Email:newdealafrica@yahoo.co.uk
or TEL +447960811614
DON’T MISS:
The Tanzania Entertainment and
Lifestyle Awards 2014.These awards
will go to
Tanzanians who have excelled
in the Bongo
movie and Entertainment industry here
in the Diaspora
and back home .Newdeal Africa is
designed to recognise
our community’s treasures and
gems, their skills, ,talents
and contribution.
We know
and understand the hard
work and dedication that is
required to achieve
this success and are
therefore delighted to
recognise the valuable
contribution that these outstanding
individuals are making
to society.
The Bongo Wood movies and Academy Awards 2014 billed to be a
highly regarded and anticipated film event within the African communities and
is projected to become a part of the
UK’s annual cultural calendar. Through
these Awards in the UK, we plans to re-brand the
Tanzania movie industry with the intention of re-launching itself into
the international movie market on the same level as other global movie
industries.
It is also a milestone celebration rebranding
project to further lift the image, appeal, standards and fortunes of the
entertainment industry in Tanzania.
WHEN: 13 -14 JUNE 2014.
LONDON
Thank you.
Newdeal Africa Team
The mdudu,pongezi kwenu kwa kutuletea vitu vya nyumbani Tanzania hasa hao waigizaji na waimbaji hivi ndio vitu tunavyotaka vya kimaendeleo na kuiweka Tanzania yetu kwenye ramani ya ukweli maana watanzania wa ugaibuni tuliendekeza sn starehe kuliko maendeleo,,mtuletee watu wa ukweli,,muziki mtu kama SUGU asikose DIAMOND,PROFESA J,Afande sele,fid q,STAMINA,CHIDY BENZI,RED JAYDEE,JUMA NECHA,MR BLUE,kwenye sinema WEMA SEPETU,J B,MWANALISA,RAY au VISENT KIGOSI,KINGWENDU,JOT,hao wote niosema wako siliasi na wanacho kifanya,Ali kiba,banaba,tafadharini msije leta watu wakatutia aibu maana huku watu wako makini.
ReplyDelete