Waziri wa Afya na ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) akifungua mkutano mkuu wa 15 mwaka wa chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT). Kushoto kwa waziri ni Dkt.Mariam Ongala Anayesimamia masuala ya PPP katika wizara ya Afya na ustawi wa Jamii na kulia kwa waziri ni m/kiti wa PRINMAT  Bi. Rabisante Sama. Mkutano huu unafanyika katika Hoteli ya Rombo Green View iliyopo Sinza, jijini Dar es salaam kuanzia leo tarehe 10 hadi  13/03/2014.
Wajumbe na wanachama wa  chama cha wauguzi na wakunga walio katika huduma binafsi (PRINMAT) wakishiriki Kuimba Wimbo wa chama chao,mkutano huu wa siku nne(4)  unakula na kwa lengo la kuweka mikakati ya kuboresha huduma hizi sehemu mbalimbali hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...