Wachezaji wa Yanga wakiwa na viongozi wao wamenusurika kupata ajali mbaya jana asubuhi eneo la Mikese baada ya basi lao kuingia mtaroni walipokuwa wakisafiri kutokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
Taarifa zinasema kwamba hakuna mchezaji au mtu yoyote aliyeumia katika ajali hiyo. Timu ya Yanga jana ilicheza na wakata miwa wa Mtibwa katika dimba la Jamhuri mjini Morogoro na matokeo kuwa suluhu ya 0-0.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...