Ankal akiwa na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,Bw Suleiman Saleh wakati akimpokea katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Washington Dulles, Virginia, leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Karibu sana Ancle ujumuike nasi angalau kwa siku kadhaa.

    ReplyDelete
  2. Ze T shirt.

    ReplyDelete
  3. ankal, ze fulanazzzz!! Halafu ankal mie sijawahi fika huko ila Dulles nasomaga tu kuwa ipo Virginia.

    ReplyDelete
  4. Ankal we noma mpaka unapokelewa na Afisa wa ubalozi!

    ReplyDelete
  5. Irizi iliyoko kwenye ze t shirt ni kali sana

    ReplyDelete
  6. The Ankal on the fulanazz,is adopting the Buffet "the billionaire" style.We had positive comments to the billionaire's simplicity anyway!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...