Ankal na Ze Fulanazzzz yake akiwa na wadau wakuu wa KIJIWE CHA UGHAIBUNI alipotembelea Maryland, Marekani hivi karibuni, na kutia ubani katika kipindi hicho ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Kulia kwake ni Producer DJ Luke Joe, akifuatiwa na nyota wa mchezo Ben Mwaipaja na Mwanangu Yasin 'Mtoto wa Salamander' bila kumsahau mwenyekiti wa kijiwe. Nyuma ya kochi ni wadau ambao bila wao kipindi hicho kisingekuwa hai. Hii ni baada ya kurekodi kipindi ambacho kitaruka hivi karibuni. Kaa mkao wa kula....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Inaonekana Ankali anayo Dazani nima ya Folanazzz.

    Si Mchezo 'Dakitari' ama Mwalimu wa Kisomo alikupa mashariti makali sana na magumu hadi rangi ya Fulanazzz usibadili, ukibadili tu utagekua kuwa ndege!

    ReplyDelete
  3. Ni bora tukubali Suala la Uraia Pacha lakini kwa Mashariti badala ya kukataa kabisa ili tuwape nafasi ndugu zetu hawa waweze kushiriki nasi ktk Tanzania!

    Tuzifahamu FAIDA na HASARA za Uraia Pacha halafu tuweke Kanuni na Tahadhari kuepuka hasara na kubeba faida zake kwa maendeleo yetu.

    ReplyDelete
  4. Jamani iyo fulanaaaz au aundio special kwa kuendea ughaibuni maanamimi simu elewi aundio ushirikina mpaka noma ni ushamba na ujuha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...