Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika)
akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha mtanzania yeyote kuweza kupimamacho na kupewa
miwani kwa gharama nafuu, (wapili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa
macho nchini (TOA) Frank Magupa
(wapili kushoto) ni Ofisa Mkazi
wa Shirika la Brien Holden
Vision Institute hapa nchini Eden
Mashayo, wakwanza kushoto ni mratibu wa mradi huo Rebecca Kasika.uzinduzi huo
ulifanyika katika viwanja vya Free
Market jijini Dar es Salaam.
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Macho hapa
nchini(TOA) Frank Magupa
(kushoto)akiongea wakati wa uzinduzi wa miwani ya Kibo jijini Dar es Salaam, ambapo huduma za macho
zitatolewa hospitali za manispaa za
Ilala ,Kinondoni na Temeke .Wananchi watapata fursa ya kupima macho na kupewa
miwani kwa bei nafuu ambayo kila mtu ataimudu .Katikati ni Ofisa Mkazi wa Shirika la
Brien Holden Vision
Institute hapa nchini Eden Mashayo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...