Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mwanafamilia mwenzetu ndani ya TASWA na tasnia ya habari kwa ujumla Cecy Jeremiah wa Redio Uhuru, Dar es Salaam amefiwa na mama yake mzazi jana jioni. Msiba upo Mbezi Makonde, njia ya kwenda shule za St.Mary's. Namba ya Cecy ni 0714-058566, tumfariji katika kipindi hiki kigumu.

Ahsante,
Katibu Mkuu TASWA
24/04/2014

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...