Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Maji Moto kwenye uwanja wa kijiji hicho mapema jana jioni,Wilayani Mlele mkoani Katavi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kwani Tundu Lissu amemkashifu Nyerere kivipi?ina maana hata kama Nyerere amekosea tusiongee,tukiongea basi tumemkashifu.Ndugu Nape acha hayo mawazo potofu,utaenda kujibu kwa Mwenyezi Mungu kwa upotoshaji

    ReplyDelete
  2. Tundu Lissu hatabaki salama kwa salamu alizoletea watanzania mchango wa Mwalimu unajulikana hata siku moja uchu wa madaraka na kuingia ikulu havitawasaidia hata wangetoa povu la moto midomoni.Ametia aibu watanzania na ametia aibu hao ma extremists UKAWA mi ni mtanzania tu na wala si CCM

    ReplyDelete
  3. Huyu tundu lissu amejimaliza kisiasa mwenyewe hivi kuna kichaa yoyote hajui mchango wa baba wa taifa kwa hili taifa letu??CCM chukua jimbo hilo la huyu lissu sidhani kama kuna mtanzania yoyote mwenye akili timamu atamchagua huyu mtu come 2015...amejishajisahau alisomeshwa buree kwa pesa za walipa kodi chini ya usimamizi wa baba wa taifa hivi nani leo angemjua huyu mtu....maana kwa top cream families za Tz hakuna kitu kinaitwa lissu....amshukuru sana tena sana baba wa taifa kwa kumfikisha hapo si shule ndio iliomleta mzizima???
    mdau wa Finland.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...