Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi(kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala .Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa.
Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja na Maofisa wa Hospitali ya Mwananyamala wakiyafurahia mashuka yaliyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa mashuka unaoikabili Hospitali hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...